﻿Zaburi.
117.
Msifuni Yahwe, enyi mataifa yote; enyi watu mhimidini yeye. 
Kwa kuwa uaminifu wa agano lake ni mkuu kwetu, na uaminifu wa Yahwe wadumu milele. Msifuni Yahwe. 
